Mzee wa Mshitu - Widgets

No room to install widgets? Install our smaller badges instead, and boost your blog with the help of these useful Wowzio tools and features ...
Live ActivityCustomize This »Live Activity shown above is a simulation!
Recent Articles on Mzee wa Mshitu ( Popular Posts , Real-Time Whats Hot? )

Wahariri wa Mwananchi wamvaa Spika

1 hour ago
Spika wa Bunge, Samuel Sitta (kushoto) akisalimiana na Mhariri wa gazeti laMwananchi Jumapili, Daniel Mwaijega na Mhariri wa makala wa Mwananchi,Rashid Kejo (katikati) walipotembelea Bunge mjini Dodoma jana. Picha naEdwin Mjwahuzi

Majaji waipeleka puta serikali suala la mgombea binafsi

22 hours ago
NAIBU Mwanasheria Mkuu wa Serikali jana alikuwa kwenye wakati mgumu mbele ya jopo la majaji saba wa Mahakama ya Rufaa wakati mabosi wa mhimili wa sheria hao walipohoji umakini wake katika kushughulikia rufaa dhidi ya uamuzi wa kuruhusu mgombea binafsi.Wakiongozwa na Jaji Mkuu Augustine ..

Zantel yavuna wateja milioni 1.4

1 day ago
BAADA ya kununua vifaa vya kisasa pamoja na kutumia teknolojia ya kisasa kwa gharama nafuu kupitia uhusiano wake na Etisalat yenye wateja zaidi ya milioni 95 barani Afrika, mashariki ya kati na bara la Asia kampuni ya simu ya Zantel imeongeza idadi ya wateja wake hadi kufikia 1.4 milioni.Kwa ..

Mnikulu Kianda kuzikwa Same

1 day ago
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimfariji Khadija Kianda mjane wa Marehemu Rajabu Kianda aliyekuwa mnikulu kufuatia kifo chake kilichotokea jumapili jijini Dar es Salaam.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji Khadija Kianda ambaye ni mjane wa Marehemu Rajabu Kianda aliyekuwa Mnikulu ambaye ..

Aliyeongoza kidato cha nne

2 days ago
Mwanafunzi wa St Marian iliyopo Bagamoyo mkoani Pwani, Immaculate Mosha aliyeibuka mshindi wa kwanza wa kidato cha nne mwaka huu, mwenye blauzi ya rangi ya khaki kwa mbali kama nyeupe, akifurahia ushindi wake na ndugu zake nyumbani kwa kaka yake Mwenge, jijini Dar es Salaam jana. Picha na Salhim ..
© 2010 Wowzio | About Us - Blog - Contact Us - Status - Terms of Service - Privacy Policy - FAQ - Testimonials - White-Label Widgets