Linda Henderson akimpaka make-up Joe Banks Jr. (Steve Lucky) Kushelia, Linda na Catrina walioigiza kama watumwa Muongozaji (Director) Wetu Lee Smith na Oscar feki tuliyomkabidhi kama shukurani kwa kazi nzuri. Lee aliigiza kama Langston Hughes pia. Mimi na Ruby Hill tukiwa tumevaa costumes kwa ..
Wadau, kesho nitaigiza katika mchezo wa kuigiza The Harlem Renaissance Revisited with a Gospel Flavor. Role yangu ni ile ile ya Ms. Thelma anayependa kucheza bahati nasibu na mabaye anatafuta mwanaume wa kumwoa.Kiingilio ni bure, tiketi zinapatika Box Office ya Blackman Theater, Northeasternm ..
Dawn Shoot - Weekend 3 Update from F.M. Musembi on Vimeo.
Imeanzishwa na mwanamuziki John Kitime.http://www.mwakitime.blogspot.com/
February ni Black History Month yaani mwezi wa kukumbuka historia ya wesui Marekani. Kwa wakati huu ni muhimu sana tukumbushe vijana wetu historia ya weusi Marekani...utumwa, ubaguzi na vitendo vya uonevu na mauaji.Wadau, hapa Marekani siku hizi tumezoea kwenda madukani na kwenye migahawa na ..