Recent Articles on SIMON KITURURU - MAWAZONI ( Popular Posts , Real-Time Whats Hot? )

HAPPY BIRTHDAY MALAYA WANGU!

18 hours ago
[Tahadhari: hii ni barua ya Mheshimiwa MUME WA MTU!]Kwa Mpenzi KIMADA!Leo ni siku ya KUZALIWA KWAKO MPENZI na nakutakia MAISHA MAREFU na mafanikio katika yote uyapangayo mbeleni malaya wangu.Samahani nitashindwa kuhudhuria sherehe yako unajua tena nahisi MKE WANGU kashaanza kustukia kitu ..
Tags: hilo, hilo, dawa, maana, hii, mtu, mtu

Binadamu huhitaji kitu kimoja tu awe MAARUFU au KUFANYA BINADAMU WENGINE wamuone WAMAANA au mjinga kwa mbaaali!:-(

19 hours ago
Kumbuka wote uwajuao au kuwasikia kwa kufanikiwa au tu MIAKILI hata kama walifanya mambo ELFU ,....... sifazao zifanyazo uwajue/KUWASIKIA/ au hata kuwazimia mara nyingi ziko kwenye kitu KIMOJA TU walichowahifanya.Na utaahira wa TAAHIRA wa binadamu adhaniwaye ni taahira au ana kichaa na ..
Tags: george bush, david beckham, kila, maana, rais, zao, hata

Kitu cha ajabu kama vile :- BINADAMU kuwa na UHAKIKA!

20 hours ago
Kama unajua au ushashuhudia udhaifu wa BINADAMU,....... unaweza kunikubalia kuwa ni KITENDO CHA AJABU SANA kwa binadamu kuwa na UHAKIKA.NA cha ajabu ,........ KUNA binadamu wana UHAKIKA!:-)Na labda kuwa na UHAKIKA ,....... ni TABIA TU kama ile ya UMALAYA ambayo inafundishika kwa kugeuza tu ..
Tags: ya, mara, safari, za, lao, yao, hata

Kila MTU anatumia kichwa ingawa kuna ambao KICHWA kinawashauri ujanja kwao ILI WAKUZIDI wanahitaji pia tumizi la TAKO!

21 hours ago
Matumizi ya kichwa yanaweza kukufanya UDHANI KUNA watumiao zaidi kichwa kuliko wengine.Lakini kumbuka kuwa ni matumizi ya kichwa yafanyayo wengine wanatumia zaidi tako au KUREMBUA kama wamestukia BAADA YA KUTUMIA KICHWA kuwa katika SHUGHULI ni tako tu na KUREMBUA TU ndicho hata jichoni kwa ..
Tags: ya, jana, lao, mambo, hilo, mtu, rais

SIlaha kubwa ya KUTONGOZEA!

3 days ago
Kwa kifupi ni:Mjue utakaye KUMTONGOZA!Swali:Kwani hujifunzi kitu kutoka kwa MBUNGE WAKO hasa kwa staili zake HATA za kugawia watu ubwabwa wa bure kabla ya UCHAGUZI?NIMEACHA!Labda tutaonana tena hapa kijiweni IJUMAA au JUMAMOSI kama muda, afya au tu uvivu vitaruhusu!Nakutakia kila kheri ..
Tags: ujingabusara
© 2009 Wowzio | About Us - Blog - Contact Us - Status - Terms of Service - Privacy Policy - FAQ - Testimonials - White-Label Widgets