MATUKIO UK - Widgets

No room to install widgets? Install our smaller badges instead, and boost your blog with the help of these useful Wowzio tools and features ...
Live ActivityCustomize This »Live Activity shown above is a simulation!
Recent Articles on MATUKIO UK ( Popular Posts , Real-Time Whats Hot? )

BUSTA RHYMES AWASILI KUKAMUA BONGO USIKU HUU

10 hours ago
Mwanamuziki Busta Rymes kutoka nchini Marekani (katikati) akitoka kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu J.K.Nyerere mara baada ya kuwasili uwanjani hapo.Usiku huu anategemea kukamua FIESTA 2009 itakayofanyika katika viwanja vya posta kijitonyama.
Tags: ya, fiesta, mara, busta rhymes, bongo, katikati, kutoka

RIPOTI YA IDADI YA WATU DUNIANI

3 days ago
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Batilda Burian akizinduwa Ripoti ya Idadi ya watu Duniani Kulia Mwakilishi wa (UNFPA) Nchini Tanzania Dk Juliha Onabanjo katika ofisi za UN Kinondoni Dar es Salaam.
Tags: ya, dk, rais, burian, unfpa

WANAUME KAMA MABINTI (VISERENGETI)

3 days ago
Kijana wa mjini, Mwilu Mwilola ‘Silvanus’ ambaye hivi karibuni alifumwa kitandani akiwa na Miss Mwanza 2006-07, Aunt Ezekiel kabla ya kutimuliwa na aliyekuwa mchumba wake, Sarah, anakuwa kipimo cha kwanza kwa sababu ‘ishu’ yake bado haijapoa.Silva, alifumwa akiwa na Aunt kitandani, wote ..
Tags: african stars, silvanus, mwanza, leaders club, bado, hivi, kuwa

KATUNI YA LEO

3 days ago
Tags: ya, leo
© 2009 Wowzio | About Us - Blog - Contact Us - Status - Terms of Service - Privacy Policy - FAQ - Testimonials - White-Label Widgets