Kama una kumbuka vizuri kwenye Inaugural Balls watoto wake Malia Anne (10), Sasha (7) pamoja na yeye wote walikuwa wametinga viwaro kutoka kwa m'bunifu Jason Wu.Pichani Kwenye Jarida la Mitindo "Vogue" la mwezi March, Michelle Obama kwa mara nyingine tena ndani ya gauni lililobuniwa na m'bunifu huyo (Jason Wu).
Readers from the following countries have been reading this article most recently. The number is parentheses is the popularity index, normalized to 100.
|